Home Habari Kuu

Habari Kuu

Lukuvi amaliza utata wa mpaka Dar

Wizara ya Ardhi. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa...

BREAKING NEWS: MAJALIWA AFUNGUKA AFYA YA RAIS MAGUFULI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa...

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua...

BURUNDI YAIPONGEZA TANZANIA KWA MABORESHO YA BANDARI

Na Mwandishi wetu , Kigoma Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi, Balozi Albert Shingiro, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kufanya maboresho makubwa ya miundombinu...

MABORESHO BANDARI YA KIGOMA YAONGEZA SHEHENA, MAPATO, YAIPIKU MWANZA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, Mhandisi Deusidedit Kakoko amesema maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza kuleta matokeo chanya...

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA MAAGIZO MAZITO MFUMO WA USALAMA BANDARINI

*Waziri Mkuu Majaliwa afurahishwa na ujenzi wa Flomita Mpya. *Aagiza Mifumo ya Usalama Ifungwe kudhibiti ubadhilifu na wizi wa wenye nia mbaya. *Siku za Meli Kukaa...

TPA YAKABIDHIWA GATI JIPYA: WAZIRI AAGIZA UCHIMBAJI WA KINA UFANYIKE KWA MIEZI 18 BADALA YA 30.

*YAKABIDHIWA GATI NAMBA 5, *WAZIRI AAGIZA UCHIMBAJI WA KINA UFANYIKE KWA MIEZI 18 BADALA YA 30. *KUHUDUMIA SHEHENA TANI MILIONI 20 MWAKA 2022. Na Merciful Munuo Waziri...

Bashe aahidi kurudishwa kwa ndege kupambana na nzige “hatudaiwi”

Serikali kupitia wizara ya kilimo imeweka nia ya kufufua kilimo anga kwa lengo la kusambaratisha visumbufu mimea vinavyozidi kujitokeza na kuharibu mazao ya wakulima...

Stay Connected

23,128FansLike
816,000FollowersFollow
9,402FollowersFollow
1,080,000SubscribersSubscribe

Latest Articles

CHINA YAMUWEKA KIZUIZINI MBUNGE WA UHOLANZI

BEIJING, China Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...

SAMATTA ATOA NENO ZITO

Na Mwandishi Wetu MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...

MASOKO, VITUO MADINI VYAONGEZA MAPATO

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...

MWANDISHI WA HABARI AILALAMIKIA PAKISTAN

ISLAMABAD, Pakistani MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...

TIZI LA AZAM FC USIPIME

*Yajiandaa kuivaa Mtibwa Aprili 6 *Yashusha mashine nyingine kimyakimya NA MWANDISHI WETU TIMU ya  Azam FC imeendelea kujifua ikiwa ni maandalizi ya mechi yao ya Ligi Kuu...