Home Bungeni

Bungeni

Magufuli awatakia kheri Taifa Stars, Mwakinyo

Rais Dk. John Magufuli Amewatakia kila la Kheri Taifa Stars Kuelekea mchezo wa Leo dhidi ya Tunisia pamoja na Bondia Mwakinyo ambaye Leo Anapambana...

Magufuli aielezea sekta binafsi kama injini ya kujenga uchumi wa kisasa

Na Mwandishi Wetu Rais Dk. John Magufuli amesema anatambua sekta binafsi ni injini ya  kujenga uchumi wa kisasa na  ameomba ushirikiano wa sekta hiyo katika...

Lengo la Demokrasia ni kuleta maendeleo siyo fujo- Magufuli

Rais Dk. John Magufuli amesema lengo la demokrasia ni kuleta maendeleo na sio fujo na hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Magufuli ameeleza hayo leo Novemba...

Vitambulisho vya wajasiriamali sasa kutumika kukopa benki

Rais Dk. John Magufuli amesema miaka mitano ijayo vitambulisho vya wajasiriamali vitaboreshwa na kuwekwa picha zao na wataweza kuvitumia kupata mikopo Benki. Magufuli ametasema hayo...

Majaliwa athibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu kwa kipindi cha pili

Bunge la Tanzania limemuidhinisha mbunge wa Ruangwa (CCM), Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya kupigiwa kura za ndiyo 350. Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu kuanzia...

Rais Magufuli kuhutubia Bunge kesho

NA MWANDISHI WETU, DODOMA RAIS Dk. John Magufuli anatarajiwa kulihutubia Bunge la 12 kesho Ijumaa Novemba 13, 2020,  saa 3:00 asubuhi, Dodoma,  kuashiria kuanza rasmi...

Rais Magufuli kuzindua Bunge Novemba 13

Na Mwandishi Wetu Rais  Dk. John Magufuli atalihutubia Bunge la 12 Ijumaa Novemba 13, 2020 huku wabunge ambao wapo nje ya Dodoma wakitakiwa kurejea jijini...

Ni Bunge la uwajibikaji-Spika Ndugai

NA SHARIFA MARIRA, DODOMA SPIKA wa Bunge Job Ndugai amewataka wabunge wa Bunge la 12 kufanya kazi yao ya kikatiba ya kuisimamia serikali na kutokuwa...

Stay Connected

23,128FansLike
816,000FollowersFollow
9,402FollowersFollow
1,080,000SubscribersSubscribe

Latest Articles

Pakistan lawamani kwa kuwa na sheria yenye kukandamiza haki za wanawake

ISLAMABAD, Pakistan SHERIA yenye utata ya kukufuru nchini Pakistan, ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikitumika kuwatisha wachache katika nchi hizo, sasa inatumiwa kuwanyamazisha wanawake wanaopigania...

CHINA YAMUWEKA KIZUIZINI MBUNGE WA UHOLANZI

BEIJING, China Mbunge wa Uholanzi, Sjoerd Sjoerdsma amewekwa kwenye orodha ya vikwazo na China kutokana na uamuzi wa jumuiya nchi za ulaya (EU) kuwawekea vikwazo...

SAMATTA ATOA NENO ZITO

Na Mwandishi Wetu MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars amesema kuwa haikuwa hesabu zao kuishia hatua ya makundi katika kuwania...

MASOKO, VITUO MADINI VYAONGEZA MAPATO

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Imeelezwa kuwa Sekta ya Madini Imezidi kuimarika miaka ya hivi karibuni kutokana na juhudi za makusudi zilizochukuliwa na Serikali ikiwa ni...

MWANDISHI WA HABARI AILALAMIKIA PAKISTAN

ISLAMABAD, Pakistani MWANDISHI wa habari mwandamizi na mwenyekiti wa zamani Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Elektroniki vya Pakistan (Pemra) Absar Alam amepinga wito aliopewa...