MADRID, HISPANIA
KLABU ya Barcelona ya nchini Uhispania imethibitisha kuwa maafisa wake wawili wamekukutwa na COVID-19 usiku wa kuamkia jana (Januari 5, 2021), baada ya...
Na Mwandishi Wetu
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel amewataka wataalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano...
Na Nteghenjwa Hosseah , Katavi
WAGANGA Wakuu wa Halmashauri zote nchini wamekumbushwa kujitathimini kuhusu uandikishaji wa wananchi kwenye Bima ya afya ya jamii iliyoboreshwa (CHF).
Kauli...
NA MWANDSIHI WETU,DAR ES SALAAM
DESEMBA mwaka 2019 dunia iliingia katika historia baada ya kuzuka kwa virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19,virusi hivyo...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda cha dawa...
NA MWANDISHI WETU
KWA baadhi ya wanamichezo ikiwemo mpira wa miguu lakini pia kwa anamuziki na wengine kwenye burudani hupendelea mno kujiweka tattoo katika miili...
Na Dotto Kwilasa, Dodoma
Wafamasia, fundi dawa sanifu (pharmaceutical technician) na wasaidizi nchini wamekumbushwa kuhuisha leseni zao kabla ya Disemba 31 mwaka huu ili waweze...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
ILIKUWA Desemba 15-16 Mwaka 2020 ambapo Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)iliendesha mafunzo ya uandishi wa habari za Sayansi,Teknolojia na...
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya matamasha yalionekana...
Na Mwandishi Wetu
Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa...
Na Dotto Kwilasa,Mwanza
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dk. Leonard Chamuriho, amemtaka Mkandarasi anayejenga Daraja la Magufuli jijini Mwanza, kutoa ajira nyingi za vibarua...
Na Mwandishi Wetu, CHATO
Serikali imeitangaza Wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa kitovu cha uhifadhi na utalii wa Kanda ya Ziwa.
Hayo yameelezwa jana jioni Jumanne...