Bashe aahidi kurudishwa kwa ndege kupambana na nzige “hatudaiwi”

0
Serikali kupitia wizara ya kilimo imeweka nia ya kufufua kilimo anga kwa lengo la kusambaratisha visumbufu mimea vinavyozidi kujitokeza na kuharibu mazao ya wakulima shambani.
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe Ameyasema hayo mara baada ya kutembelea kiwanja Cha ndege Kisongo mkoani Arusha na kukagua  kituo cha kilimo Anga pamoja na kuzungumza na wafanyakazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here