Baraza jipya la mawaziri Magufuli aanza na Wizara ya Fedha, Mambo ya nje

0

Na Mwandishi Wetu

Rais Dk John Magufuli, amewateua Dk. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Mawaziri hao wateule walikuwa wakishikilia nyadhifa hizo katika baraza la mawaziri lililopita.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa uteuzi huo unaanza leo Novemba 13, 2020.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here