BABA MZAZI MBARONI KWA KUMUOZESHA MWANAYE WA MIAKA 14 KWA BABA WA MIAKA 40

0

Sakata hilo lilitokea juzi, baada ya muuguzi wa zahanati ya Mwawile kutoa taarifa kwa mamlaka husika kufuatia wachumba hao kufika kwake kwa ajili ya kupima afya zao.Akizungumzia tukio hilo, mjomba wa binti huyo, Juma Lukuyege, alisema mtoto huyo hakufanikiwa kumaliza elimu ya msingi na aliishia darasa la kwanza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here