Askofu Gwajima ashinda ubunge Kawe

0

Halima Mdee ameshindwa kutetea kiti cha ubunge katika jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Josephat Gwajima kwa kupata kura 194,833 sawa asilimia 84.02

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe, Aron Kagurumjuli ametangaza kuwa Halima Mdee wa Chadema amepata kura 32,524 sawa na asilimia 14.02

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here